Kiingereza » Anotações de um não poliglota

Kiingereza

Lugha ya kiingereza ni lugha ya kijerumaniki ya magharibi, na iliongelewa mara ya kwanza huko Uingereza na sasa ni mmojawapo za lugha za kawaida za ulimwengu. Ni lugha rasmi huko Uingereza, Marekani, Canada, Australia, Ireland na New Zealand. Baada ya kichina cha kimandarini na kihispania ni lugha ya tatu kwa watu wanaokiongea kama kama lugha ambayo wamezaliwa nayo.

Comentários